Thursday, February 3, 2011

MSAADA WA ADA KWA YATIMA WATATU

Asalam Alleikum,

Mimi ni mjane mwenye wajukuu watatu ambao wamefiwa pia na baba yao mzazi.  Wote wanasoma Sekondari.  Kwa kipato changu kilivyo kidogo sina njia ya kuwasomesha.  Naomba unisaidie ADA ya watoto hao watatu ili waende shule.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati.

Saida Komba
saidakomba@hotmail.com  au saidakomba@yahoo.com  au saidakomba@gmail.com